WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Sunday, March 13, 2022

KAMATI YA PAC YATEMBELEA KITUO CHA KUSAMBAZA UMEME SINGIDA

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesebu za Serikali (PAC) wakimsikiliza Meneja wa kusimamia ujenzi katika vituo vya umeme kutoka Shirika la Umeme (TANESCO) Ndugu Timothy Mgaya, wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa Kituo kidogo cha kusambaza umeme Singida, Kamati hiyo ipo Mkoani Singida kufanya ziara ya ufuatiliaji wa fedha za umma katika miradi mbalimbali

Mjumbe wa Kamati Kamati ya Bunge ya Hesebu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Isack Kamwelwe akohoji jambo wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa Kituo kidogo cha kusambaza umeme Singida, Kamati hiyo ipo Mkoani Singida kufanya ziara ya ufuatiliaji wa fedha za umma katika miradi mbalimbali

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesebu za Serikali (PAC) wakimsikiliza Meneja wa kusimamia ujenzi katika vituo vya umeme kutoka Shirika la Umeme (TANESCO) Ndugu Timothy Mgaya, wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa Kituo kidogo cha kusambaza umeme Singida, Kamati hiyo ipo Mkoani Singida kufanya ziara ya ufuatiliaji wa fedha za umma katika miradi mbalimbali

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesebu za Serikali (PAC) wakimsikiliza Mratibu wa Mradi wa Kituo kidogo cha kusambaza umeme Singida kutoka Shirika la Umeme (TANESCO) Ndugu Emmanuel Manilabona, wakati Kamati  ilipotembelea na kukagua mradi wa Kituo hicho, Kamati hiyo ipo Mkoani Singida kufanya ziara ya ufuatiliaji wa fedha za umma katika miradi mbalimbali

No comments:

Post a Comment