Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Wananchi wa Tukuyu Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya katika Mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika viwanja vya CCM Machi 1, 2022, Wananchi hao walimpongeza Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) kwa kuchaguliwa kwa kishindo kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Wananchi wa Tukuyu Wilayani Rungwe wakimsikiliza Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mb (hayupo kwenye picha) akizungumza katika Mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika viwanja vya CCM Mkoani Mbeya, Machi 1, 2022, Wananchi hao walimpongeza Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb) kwa kuchaguliwa kwa kishindo kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mbunge wa Rungwe, Mhe. Anthony Mwantona akizungumza na Wananchi wa Tukuyu Wilayani Rungwe katika Mkutano wa hadhara uliofanyika leo katika viwanja vya CCM Mkoani Mbeya, Machi 1, 2022
No comments:
Post a Comment