Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Jamhuri ya Indonesia, Mhe. Dkt. Puan Maharani katika Ofisi za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia, leo Machi 24, 2022 alipohudhuria Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akiangalia zawadi kutoka kwa Spika wa Baraza la Wawakilishi la Jamhuri ya Indonesia, Mhe. Dkt. Puan Maharani katika Ofisi za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia, leo Machi 24, 2022 alipohudhuria Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akionyesha zawadi aliyopatiwa na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Jamhuri ya Indonesia, Mhe. Dkt. Puan Maharani katika Ofisi za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia, leo Machi 24, 2022 alipohudhuria Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), katika picha ya
pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Jamhuri ya Indonesia, Mhe. Dkt.
Puan Maharani katika Ofisi za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini
Indonesia, leo Machi 24, 2022 alipohudhuria
Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), katika picha ya pamoja na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Jamhuri ya Indonesia, Mhe. Dkt. Puan Maharani (katikati) katika Ofisi za Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia, leo Machi 24, 2022 alipohudhuria Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Wengine ni Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Ramadhani Dau (kushoto) na Wabunge wa Bunge la Tanzania ambao pia ni Wajumbe wa IPU, Kuanzia kulia ni Mbunge wa Chake Chake, Mhe. Ramadhan Suleiman Ramadhan na Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Esther Matiko
No comments:
Post a Comment