SPIKA DKT. TULIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MASPIKA WA BUNGE LA SUDAN KUSINI NA MALAWI
Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati), akizungumza
na Spika wa Bunge la Sudan Kusini, Mhe. Jemma Kumba (kulia) pamoja na Spika wa
Bunge la Malawi, Mhe. Catherine Hara katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano
Bali nchini Indonesia, leo Machi 24,
2022 alipohudhuria Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).
No comments:
Post a Comment