Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard
Mabonero ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Balozi huyo amemtembela Mhe. Spika kwa lengo la kumuaga baada ya
kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika picha ya pamoja na Balozi wa Uganda nchini Tanzania, Mhe. Richard Mabonero ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Balozi huyo amemtembela Mhe. Spika kwa lengo la kumuaga baada ya
kumaliza muda wake wa kufanya kazi hapa nchini.
No comments:
Post a Comment