Spika wa Bunge, Mhe.
Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Malawi, Mhe.
Humphrey Polepole baada ya kuwasili leo Julai 10, 2022 katika Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa wa Kamuzu uliopo Lilongwe nchini humo.
Mhe. Spika atashiriki
Mkutano wa 51 wa Jukwaa la Mabunge ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC
– PF) utakaoanza tarehe 11 hadi 16 Julai, 2022 katika Ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa Bingu (BICC) Jijini Lilongwe.
No comments:
Post a Comment