Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Wabunge
kutoka Bunge la Zimbabwe ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya Afya na Huduma kwa
Watoto kutoka Bunge hilo wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kanali
Mstaafu Dkt. Joshua Murire (kulia) katika kikao kilichofanyika leo tarehe 21
Septemba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akimpatia zawadi yenye
mfano wa jengo la Bunge, Mbunge kutoka Bunge la Zimbabwe ambae pia ni Kaimu
Mwenyekiti wa kamati ya Afya na Huduma kwa Watoto, Kanali Mstaafu Dkt. Joshua
Murire pale ugeni kutoka Bunge hilo ulipomtembelea leo tarehe 21 Septemba, 2022
Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Wabunge kutoka Bunge la Zimbabwe ambao pia ni Wajumbe wa kamati ya Afya na Huduma kwa Watoto wakiongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Kanali Mstaafu Dkt. Joshua Murire (kulia kwake) baada ya mazungumzo yaliyofanyika leo tarehe 21 Septemba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment