Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati, Mheshimiwa Daniel Sillo wametembelea Mamlaka ya Barabara na Uchukuzi (RTA) ya Dubai na kujifunza masuala mbalimbali ikiwemo mfumo wa ukusanyaji wa mapato ya tozo mbalimbali za barabarani
No comments:
Post a Comment