SPIKA DKT. TULIA ACKSON AONGOZA WABUNGE KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA WAZIRI MKUU MSTAAFU, HAYATI EDWARD NGOYAI LOWASSA BUNGENI JIJINI DODOMA.
Waheshimiwa Wabunge
wakiongozwa na Spika wa Bunge na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson wamesaini kitabu cha maombolezo ya Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati
Edward Ngoyai Lowassa, tarehe 13 Februari, 2024 Bungeni Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment