| Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) wakiendelea na kikao chao leo Mjini Dodoma |
Tuesday, October 18, 2016
KAMATI YA LAAC YAKATAA TAARIFA YA HESABU YA HALMSHAURI YA JIJI LA MBEYA
Monday, October 17, 2016
VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE VYAANZA LEO MJINI DODOMA
![]() |
| Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mheshimiwa Juma Hamad Omar akisisitiza jambo katika kikao cha Kamati hiyo. |
![]() |
| Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mheshimiwa Dkt. Ashatu Kijaji akitoa ufafanuzi mbele ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti kilichofanyika leo Mjini Dodoma |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mheshimiwa Aeshi Hilary akichangia jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma. |
Thursday, October 13, 2016
KAMATI YA BUNGE YA MASUALA UKIMWI YACHAGUA VIONGOZI
Wednesday, October 12, 2016
Monday, October 10, 2016
Wednesday, October 5, 2016
SPIKA WA BUNGE MHESHIMIWA JOB NDUGAI APOKEA UJUMBE WA BARUA KUTOKA KWA SPIKA WA BUNGE LA PAKSTANI MHESHIMIWA SARDAR AYAZ SADIQ.
![]() |
|
1.
Spika wa Bunge,
Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Pakstani Nchini Tanzania
Mheshimiwa Amir Mohamed Khan wakati Balozi huyo alipomtembelea Ofini kwake leo
Mjini Dodoma.
|
Subscribe to:
Posts (Atom)




















