Thursday, June 29, 2017
KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA
| Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge wakiwa tayari kwa ajili ya kuanza kwa kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika jana usiku katika Ofisi za Bunge Mjini Dodoma. |
| Kikao cha Kamati ya Uongozi kikiendelea |
| Wajumbe wakiendelea na Kikao Cha Kamati ya Uongozi |
Wednesday, June 28, 2017
SPIKA NDUGAI AGAWA VITABU KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOPO WILAYANI KOGWA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai, pamoja na Mwenyekiti wa Mtandao wa Kuondoa Umasikini Ndg. Mungwe Athuman (kulia) wakimkabidhi kitabu Kaimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Manghweta Ndg. Elinetha Kimaro (kushoto) wakati wakigawa vitabu Mbali mbali kwa Shule za Sekondari zilizopo Wilayani Kongwa Mkoani Dodoma.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (wa pili kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Mtandao wa Kuondoa Umasikini Ndg. Mungwe Athumani (kulia) wakikabidhi vitabu kwa Mwl. Mkuu wa Shule ya sekondari Iduo Ndg. Cathbert Kalindo, Shule iliyopo Wilaya ni Kongwa Mkoani Dodoma.
Sunday, June 25, 2017
Friday, June 23, 2017
SPIKA WA BUNGE AKABIDHI VITABU KWA SHULE TISA ZA SEKONDARI ZILIZOPO KONGWA, DODOMA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai
(katikati) akimkabidhi vitabu Makamu Mkuu wa Shule ya sekondari Sejeli Ndg.Gerald
Kagali. Spika Ndugai alikabidhi vitabu hivyo kwa shule tisa zilizopo Wilayani Kogwa,
Dodoma ambapo Vitabu hivyo ni msaada uliotolewa
na Mtandao wa kuondoa Umasikini Nchini. Kushoto ni Mwenyekiti wa Mtandao huo
Ndg. Mungwe Athuman
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job
Ndugai (kushoto) akishuhudia Mwenyeti wa
Mtandao wa Kuondoa Umasikini Nchini, Ndg.Mungwe Athuman akimkabidhi kitabu
Mwalimu mkuu wa Shule ya Sekondari Banyibanyi Mwl.Grace Mbise.Kulia ni
Meneja wa Mtandao huo Ndg. Peter Yobwa
Spika wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai (wa tatu kushoto waliosimama nyuma)katika
picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya
sekondari Banyibanyi, baada ya kuwakabidhi vitabu.
Thursday, June 22, 2017
SPIKA APOKEA MSAADA WA VITABU 950 KUTOKA MTANDAO WA PEN.TRUST
|
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai akikata utepe ili aweze kufungua boksi lenye vitabu alivyokabidhiwa na Mtandao
wa Kuondoa Umasikini kwa ajili ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
|
|
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai akizungumza baada ya makabidhiano ya vitabu kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Msaada
uliotolewa na Mtandao wa Kuondoa Umasikini,.
|
Subscribe to:
Posts (Atom)









