WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, November 8, 2018

SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan alipotembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan alipotembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Balozi wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan akimpa Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai zawadi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Kuwait nchini Mubarak Mohammed Alsehaijan mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dodoma.

SPIKA WA BUNGE AZINDUA KIKUNDI CHA WABUNGE CHA MALENGO ENDELEVU JIJINI DODOMA

       Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati akizundua Kikundi cha Wabunge cha Malengo ya Maendeleo Endelevu (Parliamentary Group on Sustainable Development Goals-SDGs)  Jijini Dodoma.

    Mwenyekiti wa  Kikundi cha Wabuge wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (Parliamentary Group on Sustainable Development Goals-SDGs) Mhe. Augustine Vuma  akizungumza wakati wa uzinduzi wa kikundi hicho Jijini Dodoma.

Katibu wa  Kikundi cha Wabuge wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (Parliamentary Group on Sustainable Development Goals-SDGs) Mhe. Salome Makamba  akizungumza wakati wa uzinduzi wa kikundi hicho Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge katika picha ya pamoja na Kikundi cha Wabunge kinachojishughulisha na Malengo ya Maendeleo Endelevu (Parliamentary Group on Sustainable Development Goals-SDGs)  Jijini Dodoma.

KAMATI YA BAJETI IKISIKILIZA MAONI YA WADAU KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA WA MWAKA 2018

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakimsikiliza Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania Association of  Microfinance  (TAMFI), Ndugu Joel Mwakitalu akitoa maoni ya taasisi hiyo kuhusiana na Muswada wa Sheria ya Huduma Ndogo za Fedha wa mwaka 2018 katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.

Wednesday, November 7, 2018

KAMATI YA BUNGE YA BAJETI YAWAALIKA WADAU WA MASUALA YA FEDHA KUTOA MAONI KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA NDOGO ZA FEDHA WA MWAKA 2018

PICHA MBALIMBALI ZA UZINDUZI WA MKAKATI NA MPANGO KAZI WA KUJUMUISHA MASUALA YA JINSIA NDANI YA BUNGE

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai kitabu cha Mkakati na Mpango Kazi wa Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge mara baada ya kuzindua Mkakati huo leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Anayefuata ni Naibu Spika, Mhe. Tulia Ackson na Katibu wa Bunge Ndugu Stephen Kagaigai, wa kwanza kushoto ni mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey Mulisa.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai wakifurahia uzinduzi wa Mkakati na Mpango Kazi wa Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge uliofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Wengine ni Naibu Spika, Mhe. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge Ndugu Stephen Kagaigai na wa kwanza kushoto ni mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey Mulisa.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akikata utepe katika hafla ya uzinduzi wa Mkakati na Mpango Kazi wa Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Shughuli hiyo imeshudiwa na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai, Naibu Spika, Mhe. Tulia Ackson,  Katibu wa Bunge Ndugu Stephen Kagaigai na mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey Mulisa.
                                                                                           
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa mara baada ya uzinduzi wa Mkakati na Mpango Kazi wa Kujumuisha Masuala ya Jinsia Ndani ya Bunge uliofanyika leo katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma wengine ni Naibu Spika, Mhe. Tulia Ackson, Katibu wa Bunge Ndugu Stephen Kagaigai, mwakilishi kutoka Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Ndugu Godfrey Mulisa (wa kwanza kushoto), wengine nyuma ni watendaji mbalimbali wa Mradi wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP).