WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, May 21, 2019

WAGENI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BUNGE

Sehemu ya wageni mbalimbali wakiwa katika Jukwaa la Wageni kutazama Mijadala ya Bunge inavyoendelea hii leo Jijini Dodoma. 
Sehemu ya wageni mbalimbali wakiwa katika Jukwaa la Wageni kutazama Mijadala ya Bunge inavyoendelea hii leo Jijini Dodoma. 

Saturday, May 18, 2019

WABUNGE WAPEWA SEMINA YA MASUALA YA JINSIA NA JINSI

Mheshimiwa Andrew Chenge akichangia jambo  katika Semina ya Kupitia Mfumo wa Kisheria na Kisera kuhusu masuala ya Kijinsia na Jinsi katika shughuli za Kibunge iliyofanyika kwenye Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo.  Semina hiyo imehudhuriwa na Wajumbe wa Kamati  ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama,  Kamati ya  Viwanda, Biashara na Mazingira, Kamati ya Miundombinu, Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji na Kamati ya Sheria ndogo. 


Waheshimiwa Wabunge wakifuatilia jambo katika Semina ya Kupitia Mfumo wa Kisheria na Kisera kuhusu masuala ya Kijinsia na Jinsi katika shughuli za Kibunge iliyofanyika kwenye Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo.  Semina hiyo imehudhuriwa na Wajumbe wa Kamati  ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama,  Kamati ya  Viwanda, Biashara na Mazingira, Kamati ya Miundombinu, Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji na Kamati ya Sheria ndogo.


Mheshimiwa Julius Kalanga akichangia jambo katika Semina ya Kupitia Mfumo wa Kisheria na Kisera kuhusu masuala ya Kijinsia na Jinsi katika shughuli za Kibunge iliyofanyika kwenye Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo.  Semina hiyo imehudhuriwa na Wajumbe wa Kamati  ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama,  Kamati ya  Viwanda, Biashara na Mazingira, Kamati ya Miundombinu, Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji na Kamati ya Sheria ndogo.

Monday, May 6, 2019

SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MUWAKILISHI UNDP

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai  akizungumza na Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea nyumbani  kwake Jijini Dodoma. Mgeni huyo aliambatana na Mshauri Mkuu wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP II), Ndugu Takawira Musavengana  na Mratibu wa mradi huo Ndugu Mary Lasway.
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea nyumbani  kwake Jijini Dodoma. 
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea nyumbani kwake kwake Jijini Dodoma.



Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea nyumbani kwake kwake Jijini Dodoma.


KATIBU WA BUNGE ATEMBELEWA NA MWAKILISHI KUTOKA UNDP

Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akimsikiliza Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akimsikiliza Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma. Mgeni huyo aliambatana na Mshauri Mkuu wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP), Ndugu Takawira Musavengana  na Mratibu wa mradi huo Ndugu Mary Lasway. 
Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akipokea zawadi kutoka kwa Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma.