|
Sehemu
ya Wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari Jitegemee ya Jijini Dar es salaam
wakifuatilia Mjadala wa Bunge katika Kikao cha Bunge kilichoendelea hii leo
Jijini Dodoma.
|
Wednesday, September 12, 2018
WAGENI KUTOKA SEHEMU MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BUNGE
Tuesday, September 11, 2018
WABUNGE WANAWAKE WAPEWA SEMINA YA UONGOZI JIJINI DODOMA
Sehemu
ya Wabunge Wanawake wakifuatilia kwa karibu maelezo kutoka kwa Mtoa Mada katika
Semina ya masuala ya Uongozi iliyotolewa kwa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania.
|
Saturday, September 8, 2018
SPIKA ASHIRIKI MAFUNZO YALIYOANDALIWA NA BENKI KUU KWA AJILI YA WABUNGE WOTE
Sehemu
ya Wabunge wakifuatilia Mafunzo yaliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania kwa
Wabunge wote yaliyofanyika hii leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.
Subscribe to:
Posts (Atom)


