|
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika kikao ambapo leo wamepokea Taarifa
kuhusu utekelezaji wa bajeti ya
Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa
Fedha 2017/18 ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
|
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakifuatilia mjadala katika kikao hicho ambapo leo wamepokea Taarifa kuhusu utekelezaji wa bajeti ya
Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa
Fedha 2017/18 ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.