Wednesday, May 31, 2017
Tuesday, May 30, 2017
MHE SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MCHUNGAJI LUSEKELO "MZEE WA UPAKO"
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mchungaji Anthony Lusekelo (kulia) alipomtembelea leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma. |
Thursday, May 25, 2017
SPIKA WA BUNGE MHE NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA
Wednesday, May 24, 2017
MHE SPIKA ATEMBELEA BUNGE LA KENYA
Tuesday, May 16, 2017
MHE SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem
M.Shabat, ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
|
Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem
M.Shabat, wakati alipozungumza naye ofisini
kwake jijini Dar es Salaam. |
Mazungumzo yakiendelea
Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat akimueleza
jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati akimkabidhi barua Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Subscribe to:
Posts (Atom)