Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)
akishuhudia aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah (kushoto) akimkabidhi Ofisi Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai,
mapema leo Jijini Dar es Salaam.

Mheshimiwa Job Ndugai katikati akizungumza
na aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah (kushoto) na Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Stephen
Kagaigai, wakati wa makabidhiano ya Ofisi mapema leo Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akifurahia jambo na aliyekuwa
katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah (kushoto)
na Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai, wakati wa makabidhiano ya Ofisi mapema
leo Jijini Dar es Salaam.