Monday, April 15, 2019
Wednesday, April 10, 2019
NAIBU SPIKA AKUTANA NA WABUNGE WA UGANDA BUNGENI JIJINI DODOMA
Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akizungumza jambo na Ujumbe wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda waliopo ziarani hapa nchini Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo. |
Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe wa Wabunge na Watumishi wa Bunge la Uganda waliomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo. |
Friday, April 5, 2019
KATIBU WA BUNGE ATEMBELEWA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA CAMEROON JIJINI DODOMA
SPIKA WA BUNGE LA BURUNDI AKUTANA NA KAMATI YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA
Kamati ikiendelea na kikao |
Wednesday, April 3, 2019
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA VIONGOZI WA MAJUKWAA YA HABARI
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiongea jambo na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahahriri Tanzania Ndg. Deodatus Balile alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo. |
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai akiwa katiika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Taasisi ya Kimataifa ya Habari (IPI) na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) Ofisini kwake Jijini Dodoma hii leo. |
Subscribe to:
Posts (Atom)