WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, October 20, 2016

KAMATI YA KUTANA NA WIZARA YA NISHATI N MADINI

     Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Mheshimiwa Innoncent Bunshungwa akichangia jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma

 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini Mheshimiwa Doto Biteko akisisitiza jambo katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma

    Waziri wa Nishati na Madini Mheshimiwa Profesa Sospeter Muhongo akifafanua jambo mbele ya kikao cha Kamati ya Kadumu ya Bunge ya Nishati na Madini kilichofanyika leo Mjini Dodoma

Wednesday, October 19, 2016

KAMATI YAKUTANA NA WADAU WA HABARI

Naibu Spika Mhe. Tulia Ackson akifuatilia majadiliano ya wajumbe wa  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakati wakijadili Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016.


Naibu Spika Mhe. Tulia Ackson(kulia) akifuatilia majadiliano ya wajumbe wa  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii katikati ni mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Peter Serukamba, kushoto ni Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye 


Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na baadhi ya wadau wa habari wakifuatilia mjadala wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016


Baadhi ya wajumbe  Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii na baadhi ya wadau wa Habari wakifuatilia mjadala wa Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016.


KAMATI YA LAAC YAHOJI HALMASHAURI MBILI

Mhasibu wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele, Obindi Wembe akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Mheshimiwa Abdalla Chikota akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo Leo Mjini Dodoma

Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) wakiendelea na kikao chao leo Mjini Dodoma ambapo leo Kamati hiyo ilikuwa ikifanya mahojiano kuhusu hesabu za mwaka wa Fedha 2014/2015 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele na Halmashauri ya Wilaya ya Ngara.


KAMATI YA BUNGE YATAKA TUME YA UTUMISHI WA WALIMU IPEWE FEDHA

Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), Winfrida Tutaindurwa akiwasilisha Taarifa ya Muundo na utekelezaji wa majukumu ya Tume katika kipindi cha Julai hadi Oktoba 2016 mbele ya Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa Mjini Dodoma leo, kushoto ni Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mheshimiwa Seleman Jafo.

Mjumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Mwita Waitara akichangia hoja katika kikao cha Kamati hiyo leo Mjini Dodoma.

Mjumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mheshimiwa Saada Salum Mkuya akichangia hoja katika kikao cha Kamati hiyo leo Mjini Dodoma.Kamati hiyo leo ilikuwa inapokea na kujadili maelezo ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kuhusu muundo, majukumu na utendaji wa Tume ya Utumishi wa Walimu


Tuesday, October 18, 2016

WAZIRI WA HABARI AWASILISHA MUSWADA WA HUDUMA ZA HABARI WA MWAKA 2016.

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Nape Nnauye akiwasilisha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii leo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Nape Nnauye akiwasilisha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii.

 Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Mheshimiwa Nape Nnauye wakati akiwasilisha Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 mbele ya Kamati hiyo.