WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, April 22, 2017

SPIKA WA BUNGE AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU DKT ELLY MACHA




  Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.  Job Ndugai akiweka shada la maua katika kaburi marehemu Mhe. Dkt. Elly Marko Macha wakati alipongoza waombolezaji katika mazishi ya marehemu yaliyofanyika katika kijijini cha Kirua Vunjo, mkoani Kirimanjaro.


Spika wa Bunge Tanzania Mhe. Job Ndugai (katikati) akifatilia ibada ya mazishi ya Marehemu Mhe. Dkt Elly Macha alipongoza mamia ya waombolezaji katika mazishi ya marehemu yaliyofanyika leo katika kijijini cha Kirua Vunjo, mkoani Kirimanjaro, kulia ni Naibu wa Spika Mhe. Dkt Tulia Ackson  na kushoto ni Kiongozi wa kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni Mhe. Freeman Mbowe.


   Wapambe wa Bunge wakilipeleka jeneza la Marehemu Dkt Elly Macha ili likahifadhiwe katika nyumba yake ya milele.


Naibu Spika wa Bunge la Tanzania Mhe.  Dkt Ackson Tulia akiweka shada la maua katika kaburi marehemu Mhe. Dkt. Elly Marko Macha wakati wa mazishi ya marehemu yaliyofanyika katika kijiji cha Kirua Vunjo, mkoani Kirimanjaro.

Tuesday, April 4, 2017

RAIS MSTAAFU MHE. JAKAYA KIKWETE ALIPOFIKA BUNGENI KUMSHUHUDIA MHE SALMA KIKWETE AKILA KIAPO CHA UAMINIFU

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akisaini Kitabu cha Wageni  alipofika  Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mke wake Mhe. Salma kikwete.  Kushoto ni Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugaialipofika  Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mke wake Mhe. Salma kikwete.  


Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimuapisha Mhe Salma Kikwete ambaye aliteuliwa na Mhe Rais kuwa Mbunge hivi  karibuni.

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akizungumza na Katibu wa Bunge Dkt Thomas Kashililah wa pili toka (kushoto)alipofika  Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mke wake Mhe. Salma kikwete. Wengine katika picha ni Katibu wa Spika Bw. Said Yakubu (kulia) na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Itifaki na Uhusiano-Ofisi ya Bunge Bw. Theonest K. Ruhilabake (kushoto)
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) alipokuwa Bungeni.


Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) alipofika Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mhe. Salma kikwete. 

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (katikati) akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) na Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (kulia) alipofika Bungeni kwa ajili ya kushuhudia kuapishwa kwa Mhe. Salma kikwete. 


Friday, March 31, 2017

KAMATI YA PAC YAENDELEA NA VIKAO VYAKE.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Kaboyoka akisisitiza jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma, pembeni ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Aeshi Hilaly. Kamati hiyo leo imejadili Taarifa ya Ukaguzi wa Ufanisi kuhusu utekelezaji wa makakati wa udhibiti wa wadudu waharibifu  na majanga ya magonjwa ya mazao Tanzania.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakifuatilia Mjadala katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma.


Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakifuatilia Mjadala katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

KAMATI YA KATIBA NA SHERIA YAENDELEA NA UCHAMBUZI WA BAJETI.

Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Profesa Paramagamba Kabudi akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya  Katiba na Sheria baada ya Wizara yake kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria  kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na Makadirio ya Mapato na  Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria wakijadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria  kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na Makadirio ya Mapato na  Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Rashid Shangazi (katikakati) akimsikiliza Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Profesa Paramagamba Kabudi wakati akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na Makadirio ya Mapato na  Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria  kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na Makadirio ya Mapato na  Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

TANZIA