Monday, January 7, 2019
Friday, January 4, 2019
Tuesday, December 11, 2018
SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA JAJI MKUU WILAYANI KONGWA
|
Spika
wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Prof.
Ibrahim Hamis Juma wakiwa katika picha ya pamoja na Watendaji mbalimbali wa Wilaya
ya Kongwa.
|
|
Spika
wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akijadiliana jambo na Jaji Mkuu wa
Tanzania Mheshimiwa Prof. Ibrahim Hamis Juma mara baada
ya Ziara ya Jaji Mkuu katika Mahakama ya Wilaya ya Kongwa.
|
SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA NAMIBIA
Friday, November 30, 2018
BENKI YA CRDB YAMKABIDHI SPIKA WA BUNGE VIFAA VYA MICHEZO KWA AJILI YA BUNGE SPORTS CLUB
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) akizungumza na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Bi. Tully Esther Mwambapa (wa kwanza kulia) alipofika Ofisini kwake kumkabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya Bunge Sports Club.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kulia) akipokea Jezi kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Bi. Tully Esther Mwambapa (katikati) alipofika Ofisini kwake kumkabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya Bunge Sports Club anayeshuhudia ni Mkuu wa Huduma za Benki ya CRDB Serikalini, Benett Bankobeza (kushoto).

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai ( wa pili kulia) katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Bi. Tully Esther Mwambapa (kulia),Mkuu wa Huduma za Benki ya CRDB Serikalini, Benett Bankobeza (wa pili kushoto)
SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM
| Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Sweden Nchini Mhe. Andres Sjoberg Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam |
|
| Balozi wa Sweden Nchini Mhe. Andres Sjoberg akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam |

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden Nchini Mhe. Andres Sjoberg mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
|
Thursday, November 29, 2018
SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA FALME ZA NCHI ZA KIARABU
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Falme za Nchi za Kiarabu Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Falme za Nchi za Kiarabu Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi akimuelezea jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Falme za Nchi za Kiarabu Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo yakiendelea.

| Balozi wa Falme za Nchi za Kiarabu Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi akimuelezea jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. |
Balozi wa Falme za Nchi za Kiarabu Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi akimuelezea jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Falme za Nchi za Kiarabu Mhe. Khalifa Abdulrahman Almarzooqi mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
Mazungumzo yakiendelea.
Subscribe to:
Posts (Atom)