Sunday, November 8, 2020
Saturday, November 7, 2020
Thursday, August 13, 2020
WATUMISHI WA KITENGO CHA TEHAMA WAPEWA MAFUNZO KUHUSU MFUMO WA KADI YA TATHIMINI NA UWAJIBIKAJI WA MALARIA
Watumishi wa Kitengo
cha TEHAMA wa Ofisi ya Bunge wakipatiwa mafunzo kuhusu mfumo wa Kadi ya Tathimini
na Uwajibikaji wa Malaria kutoka kwa Ndugu Khalifa Munisi. Mafunzo hayo
yameandaliwa na Umoja wa Wabunge walio katika Mapambano dhidi ya Malaria
(TAPAMA) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya kupitia Programu ya Taifa ya
Kupambana na Kutokomeza Malaria pamoja na Sekretarieti ya Maraisi na Viongozi
wa Afrika walioungana kupambana na Malaria. Lengo la kuwajengea uwezo watumishi
wa kitengo hicho ili waweze kuiwasaidia wabunge kutumia Kadi hiyo kupitia
kwenye vishikwambi (‘tablet’) vyao.
| Mafunzo yakiendelea katika Ukumbi wa Msekwa B |
| Mafunzo yakiendelea |
Tuesday, July 7, 2020
WANANCHI WENGI WAVUTIWA NA BANDA LA BUNGE MAONYESHO YA SABASABA
| Afisa Mwandamizi wa Bunge Ndg. Louise Mdachi akitoa Elimu kwa wageni mbalimbali waliofika kutembelea Banda la Bunge kwenye Maonyesho ya Sabasaba Jijini Dar Es Salaam hii leo. |
| Afisa wa Bunge Ndg. Peter Magati akitoa Elimu kwa wageni mbalimbali waliofika kutembelea Banda la Bunge kwenye Maonyesho ya Sabasaba Jijini Dar Es Salaam hii leo. |
| Afisa wa Bunge Ndg. Rehema Kipera akitoa Elimu kwa wageni mbalimbali waliofika kutembelea Banda la Bunge kwenye Maonyesho ya Sabasaba Jijini Dar Es Salaam hii leo. |
Sunday, July 5, 2020
WANANCHI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA BUNGE SABASABA
| Afisa wa Bunge Ndg. Amina Salum akitoa ufafanuzi kwa Wageni mbalimbali wanaofika kwenye Banda la Bunge ili kupata Elimu kuhusiana Shughuli za Mhimili huu wa Kutunga Sheria. |
| Afisa wa Bunge Ndg. Katherine Kaihula akitoa ufafanuzi kwa Wageni mbalimbali wanaofika kwenye Banda la Bunge ili kupata Elimu kuhusiana Shughuli za Mhimili huu wa Kutunga Sheria. |
| Afisa wa Bunge Ndg. Zanele Chiza akifafanua jambo kwa Wageni mbalimbali wanaofika kwenye Banda la Bunge ili kupata Elimu kuhusiana Shughuli za Mhimili huu wa Kutunga Sheria. |
Sunday, June 28, 2020
SPIKA AKABIDHI KOMPYUTA 20 SHULE ZA SEKONDARI WILAYA YA KONGWA
Subscribe to:
Posts (Atom)



