Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kujadili mapendekezo ya ratiba ya Mkutano wa kumi na nne wa Bunge kilichofanyika katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.
Wednesday, January 31, 2024
SPIKA DKT. TULIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI BUNGENI JIJINI DODOMA
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi kilichopokea na kujadili mapendekezo ya ratiba ya Mkutano wa kumi na nne wa Bunge kilichofanyika katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma.
Friday, January 19, 2024
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA, KILIMO NA MIFUGO YAPOKEA NA KUJADILI TAARIFA YA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA
KATIBU NENELWA AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI MTENDAJI WA HESLB JIJINI DODOMA
Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akisoma machapisho aliyokabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Ndg. Abdul-Razaq Badru (kulia), alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa Mwihambi, ndc akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), Ndg. Abdul-Razaq Badru, alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Friday, January 12, 2024
Tuesday, January 9, 2024
VIONGOZI WA DINI, VYAMA VYA SIASA WAMEENDELEA KUTOA MAONI KUHUSU MISWADA MINNE YA SHERIA ILIYOSOMWA BUNGENI KWA MARA YA KWANZA
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Joseph Mhagama akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea maoni ya wadau kuhusu miswada minne ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza wakati wa Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe 9 Januari, 2023 Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Florent Kyombo na Katibu wa kamati hiyo, Ndg. Frank Nkya.
Askofu Mkuu Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT), Askofu Fredrick Shoo akitoa maoni wakati wa uotaji wa maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Miswada minne ya Sheria iliyosomwa
Bungeni kwa mara ya kwanza wakati wa Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe
9 Januari, 2024 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni, Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Mhe. Mary Chatanda akitoa maoni kwa niaba ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
wakati wa uotaji wa maoni ya wadau mbalimbali kuhusu Miswada minne ya Sheria iliyosomwa
Bungeni kwa mara ya kwanza wakati wa Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe
9 Januari, 2024 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni, Jijini Dodoma.
Mbunge Mstaafu na Mwakilishi kutoka NCCR Mageuzi, Mhe.
Joseph Selasini akitoa maoni kuhusu miswada minne ya
Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza wakati wa Mkutano wa Kumi na Tatu
wa Bunge leo tarehe 9 Januari, 2023 Bungeni Jijini Dodoma.
Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Khadija Taya akichangia jambo wakati wa utoaji wa maoni kwa wadau kuhusu miswada minne ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza wakati wa Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe 9 Januari, 2023 Bungeni Jijini Dodoma.
Wajumbe wa kamati
ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakifuatilia maoni ya wadau
kuhusu miswada minne ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza wakati wa
Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe 9 Januari, 2023 Bungeni Jijini
Dodoma.
Wadau Mbalimbali
wakifuatilia utoaji wa maoni kuhusu miswada minne ya Sheria iliyosomwa Bungeni
kwa mara ya kwanza wakati wa Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe 9
Januari, 2023 Bungeni Jijini Dodoma.
Saturday, January 6, 2024
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA YAPOKEA MAONI YA WADAU MBALIMBALI
Mwenyekiti wa
kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Joseph Mhagama
akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea maoni ya wadau kuhusu miswada minne
ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza wakati wa Mkutano wa Kumi na
Tatu wa Bunge leo tarehe 6 Januari, 2023 Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Florent Kyombo na Katibu wa kamati hiyo, Ndg. Frank
Nkya.
Miswada hiyo ni Muswada
wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; Muswada wa
Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa
Mwaka 2023; Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.5) wa
Mwaka 2023 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.5) Bill, 2023]; na Muswada
wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa wa Mwaka 2023 [The
Political Affairs Laws (Amendment) Bill, 2023].
Mjumbe wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale,
Mhe. Hussein Nassor Amar akichangia jambo wakati wa utoaji wa maoni kwa wadau kuhusu
miswada minne ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza wakati wa Mkutano
wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe 6 Januari, 2023 Bungeni Jijini Dodoma.
Miswada hiyo ni Muswada
wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; Muswada wa
Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa
Mwaka 2023; Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.5) wa
Mwaka 2023 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.5) Bill, 2023]; na Muswada
wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa wa Mwaka 2023 [The
Political Affairs Laws (Amendment) Bill, 2023].
Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe akitoa maoni
kuhusu Muswada
wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa Mwaka 2023; wakati wa utoaji wa maoni
ya wadau kuhusu miswada minne ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza
wakati wa Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe 6 Januari, 2023 Bungeni
Jijini Dodoma.
Wajumbe wa kamati
ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakifuatilia maoni ya wadau
kuhusu miswada minne ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza wakati wa
Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe 6 Januari, 2023 Bungeni Jijini
Dodoma.
Miswada hiyo ni Muswada
wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; Muswada wa
Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa
Mwaka 2023; Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.5) wa
Mwaka 2023 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.5) Bill, 2023]; na Muswada
wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa wa Mwaka 2023 [The
Political Affairs Laws (Amendment) Bill, 2023].
Wadau Mbalimbali wakifuatilia
utoaji wa maoni kuhusu miswada minne ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya
kwanza wakati wa Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe 6 Januari, 2023
Bungeni Jijini Dodoma.