Mwenyekiti wa
kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Joseph Mhagama
akiongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea maoni ya wadau kuhusu miswada minne
ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza wakati wa Mkutano wa Kumi na
Tatu wa Bunge leo tarehe 6 Januari, 2023 Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Makamu
Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Florent Kyombo na Katibu wa kamati hiyo, Ndg. Frank
Nkya.
Miswada hiyo ni Muswada
wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; Muswada wa
Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa
Mwaka 2023; Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.5) wa
Mwaka 2023 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.5) Bill, 2023]; na Muswada
wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa wa Mwaka 2023 [The
Political Affairs Laws (Amendment) Bill, 2023].
Mjumbe wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria na Mbunge wa Jimbo la Nyang’hwale,
Mhe. Hussein Nassor Amar akichangia jambo wakati wa utoaji wa maoni kwa wadau kuhusu
miswada minne ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza wakati wa Mkutano
wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe 6 Januari, 2023 Bungeni Jijini Dodoma.
Miswada hiyo ni Muswada
wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; Muswada wa
Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa
Mwaka 2023; Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.5) wa
Mwaka 2023 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.5) Bill, 2023]; na Muswada
wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa wa Mwaka 2023 [The
Political Affairs Laws (Amendment) Bill, 2023].
Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo, Mhe. Zitto Kabwe akitoa maoni
kuhusu Muswada
wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa Mwaka 2023; wakati wa utoaji wa maoni
ya wadau kuhusu miswada minne ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza
wakati wa Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe 6 Januari, 2023 Bungeni
Jijini Dodoma.
Wajumbe wa kamati
ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria wakifuatilia maoni ya wadau
kuhusu miswada minne ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya kwanza wakati wa
Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe 6 Januari, 2023 Bungeni Jijini
Dodoma.
Miswada hiyo ni Muswada
wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023; Muswada wa
Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa
Mwaka 2023; Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.5) wa
Mwaka 2023 [The Written Laws (Miscellaneous Amendments) (No.5) Bill, 2023]; na Muswada
wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa wa Mwaka 2023 [The
Political Affairs Laws (Amendment) Bill, 2023].
Wadau Mbalimbali wakifuatilia
utoaji wa maoni kuhusu miswada minne ya Sheria iliyosomwa Bungeni kwa mara ya
kwanza wakati wa Mkutano wa Kumi na Tatu wa Bunge leo tarehe 6 Januari, 2023
Bungeni Jijini Dodoma.