Thursday, May 25, 2017
Wednesday, May 24, 2017
MHE SPIKA ATEMBELEA BUNGE LA KENYA
Tuesday, May 16, 2017
MHE SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem
M.Shabat, ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
|
| Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem
M.Shabat, wakati alipozungumza naye ofisini
kwake jijini Dar es Salaam. |
Mazungumzo yakiendelea
Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat akimueleza
jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati akimkabidhi barua Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Sunday, May 14, 2017
WABUNGE WAPEWA SEMINA KUHUSU WAJIBU WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA KATIKA KUFANIKISHA MALENGO YA MAMENDELEO.
| KATIBU WA SPIKA WA BUNGE, NDUGU SAIDI YAKUBU AKIWASILISHA MADA KUHUSU MUUNDO, SHUGHULI NA MAJUKUMU YA JUMUIYA YA MADOLA. |
Wednesday, May 10, 2017
MHE SPIKA AKUTANA NA WABUNGE KUTOKA BUNGE LA UMOJA WA ULAYA
| Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Wabunge kutoka Bunge la Umoja wa Ulaya Ofisini kwake Mjini Dodoma. |
| Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Wabunge kutoka Bunge la Umoja wa Ulaya Ofisini kwake Mjini Dodoma. |
| Mazungumzo yakiendelea |
| Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (wa nne toka kulia) katika picha ya pamoja na Wabunge kutoka Bunge la Umoja wa Ulaya mara baada ya kuzungumza nao Ofisini kwake Mjini Dodoma. |
| Ugeni wa Wabunge hao kutoka Bunge la Umoja wa Ulaya wakifuatilia kikao cha Bunge kabla ya kuonana na Mhe Spika. |
KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI
Subscribe to:
Posts (Atom)






