WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, November 6, 2018

SPIKA WA BUNGE AWAAPISHA WABUNGE WAPYA WANNE WALIOCHAGULIWA HIVI KARIBUNI KATIKA UCHAGUZI MDOGO

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akimuapisha Mbunge wa Jimbo la Ukonga Mhe. Mwita Waitara Bungeni Jijini Dodoma
  Mbunge wa Liwale, Mohamed Kuchaukakila kiapo cha Uaminifu mbele ya Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai 
 Mbunge wa Monduli Mhe. Julius Kalanga akila kiapo cha Uaminifu Mbele ya Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai
 Mbunge wa Korogwe Vijijini Mhe. Timotheo Mnzava akila kiapo cha Uaminifu Bungeni mbele ya Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Liwale, Mohamed Kuchauka baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma. 
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Ukonga Mhe. Mwita Waitara baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma 
 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpa mkono wa pongezi Mbunge wa Korogwe Vijijini baada ya kula kiapo Bungeni jijini Dodoma 

Friday, November 2, 2018

KATIBU WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI WA TBC

Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akimsikiliza Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji (TBC)
Dkt. Ayoub Rioba wakati Mkurugenzi huyo alipomtembelea na kufanya nae mazungumzo Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Katibu wa Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akiwa na Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji (TBC) Dkt. Ayoub Rioba wakati Mkurugenzi huyo alipomtembelea na kufanya nae mazungumzo Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akizungumza na Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji (TBC)Dkt. Ayoub Rioba wakati Mkurugenzi huyo alipomtembelea na kufanya nae mazungumzo Ofisini kwake Jijini Dodoma, wa kwanza ni Kaimu Mkuu wa Kanda ya Kati TBC , Ndugu Bakari Msulwa


Thursday, November 1, 2018

PICHA KAMATI ARDHI, MALIASILI NA MAZINGIRA YAPOKEA TAARIFA KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI NCHINI

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakifuatilia uwasilishwaji wa taarifa ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuhusu hali ya migogoro ya ardhi Nchini katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Taarifa hiyo iliwasilishwa na Kamishna wa Ardhi Ndugu Mary Makondo

Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mheshimiwa Nape Nnauye akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kamati hiyo leo ilipokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuhusu hali ya migogoro ya ardhi Nchini.


Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mheshimiwa Nape Nnauye akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kamati hiyo leo ilipokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuhusu hali ya migogoro ya ardhi Nchini.

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa Angelina Mabula akifafanua hoja mbalimbali za wajumbe wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii. Kamati hiyo iliyokutana katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo ilipokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuhusu hali ya migogoro ya ardhi Nchini.

KAMATI YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA YAENDELEA NA VIKAO VYAKE JIJINI DODOMA

Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Mazingira na Utafiti kutoka Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)  Ndugu Joseph Kombe akiwasilisha taarifa Kuhusu uhifadhi wa maeneo lindwa pamoja na jitihada za Serikali za kuyahifadhi maeneo hayo mbele ya kikao cha Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.Wa kwanza kuluia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa Sadiq Murad

Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Mazingira na Utafiti kutoka Baraza la Taifa la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)  Ndugu Joseph Kombe akiwasilisha taarifa Kuhusu uhifadhi wa maeneo lindwa pamoja na jitihada za Serikali za kuyahifadhi maeneo hayo mbele ya kikao cha Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.wengine ni watendaji wa Baraza hilo pamoja na Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira

KAMATI YA PIC YAJADILI TAARIFA YA NDC

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma wakiwa katika kikao cha kamati kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo leo walipokea na kujadili taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu Uwekezaji katika Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC).

Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma Mheshimiwa Richard Ndasa akichangia jambo katika kikao cha kamati hiyo  kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo leo walipokea na kujadili taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu Uwekezaji katika Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC).

Mwenyekiti wa Kamati ya Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma Mheshimiwa Raphael Chegeni akifuatilia jambo katika kikao cha kamati hiyo  kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo leo walipokea na kujadili taarifa ya Msajili wa Hazina kuhusu Uwekezaji katika Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC).pembeni yake ni Katibu wa Kamati hiyo Ndugu Amina 

NAIBU SPIKA AKUTANA NA WACHEZAJI WA MBEYA CITY WALIPOTEMBELEA BUNGENI

Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akizungumza na Wachezaji pamoja na Viongozi wa Timu ya Mbeya City FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara walipotembelea Bungeni kwa ajili ya kufanya Ziara ya Mafunzo jana JijiniDodoma.
Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiongozana na Wachezaji pamoja na Viongozi wa Timu ya Mbeya City FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara walipokuwa wakitembelea maeneo mbalimbali ya Viwanja vya Bunge kwa ajili ya kufanya Ziara ya Mafunzo jana Jijini Dodoma.
Naibu Spika wa Bunge Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson akiwa katika picha ya pamoja na Wachezaji pamoja na Viongozi wa Timu ya Mbeya City FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara walipotembelea Bungeni kwa ajili ya kufanya Ziara ya Mafunzo jana Jijini Dodoma.