Thursday, June 22, 2017
Wednesday, June 21, 2017
SPIKA AFUTURISHA WABUNGE, WAFANYAKAZI NA WAZEE WA DODOMA
| Mheshimiwa Spika Job Ndugai akizungumza na baadhi ya wabunge walioshiriki katika futari aliyoaindaa |
| |
Tuesday, June 20, 2017
Spika wa Bunge, amekutana na uongozi wa Chama cha Askari Wastaafu wa Vita ya Pili ya Dunia (TLC) ofisini kwake Mjini Dodoma
| Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai leo amekutana na uongozi wa Chama cha Askari Wastaafu wa Vita ya Pili ya Dunia (TLC) ofisini kwake Mjini Dodoma |
| Afisa Utawala wa Chama cha Wastaafu wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (TLC), Ndugu Charles Lubala akieleza lengo la ujumbe huo mbele ya Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai. |
| Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na wazee hao askari wastaafu. |
| Mheshimiwa Spika, Job Ndugai akiagana na wageni hao |
SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai
(kushoto) akimsikiliza Kiongozi wa Msafara na Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya
Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji, Mhe. Lucas
Jeremias (katikati) pale ugeni kutoka kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na
Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji ulipomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai
(kushoto) akizungumza mbele ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala na
Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji ulipomtembelea leo Ofisini kwake
Mjini Dodoma, wa pili kushoto ni Kiongozi wa Msafara na Mwenyekiti wa kamati ya
kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa kutoka Bunge la Msumbiji, Mhe.
Lucas Jeremias
Monday, June 19, 2017
Sunday, June 18, 2017
SPIKA NDUGAI AONGOZA WABUNGE KATIKA HARAMBEE YA UJENZI WA JENGO LA JUMUIYA YA KIKRISTO TANZANIA TUKIO LILILOFANYIKA LEO MJINI DODOMA
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu,
Mheshimiwa Mizengo Pinda (kushoto) kabla ya kuanza harambee kwa ajili ya ujenzi
wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, katika tukio lililofanyika leo Mjini
Dodoma. katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya kikristo Tanzania, Askofu Dkt.
Alex Malasusa
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akiteta jambo na Katibu wa Bunge,
Dkt. Thomas Kashililah (kulia) baada ya kumalizika kwa harambee kwa ajili ya
ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, tukio lililofanyika leo Mjini
Dodoma, Pia Spika Ndugai aliongoza Wabunge katika harambee hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Mizengo Pinda (wa pili kushoto) akizungumza jambo
baada ya kumalizika kwa harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya
kikristo Tanzania, kulia ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah, kushoto ni
Mwenyekiti wa Jumuiya ya kikristo Tanzania, Askofu Dkt. Alex Malasusa na wa
pili kulia ni Ndg. Elton Mapesa.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Mizengo Pinda (kushoto) akiagana na Katibu wa
Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) baada ya kumalizika kwa harambee kwa
ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania. Katika harambee hiyo, Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai aliwaongoza
wa Bunge katika uchangiaji wa ujenzi wa jengo hilo.
Subscribe to:
Posts (Atom)