Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (kulia) akipokea Jezi kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Bi. Tully Esther Mwambapa (katikati) alipofika Ofisini kwake kumkabidhi vifaa vya michezo kwa ajili ya Bunge Sports Club anayeshuhudia ni Mkuu wa Huduma za Benki ya CRDB Serikalini, Benett Bankobeza (kushoto).

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai ( wa pili kulia) katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Bi. Tully Esther Mwambapa (kulia),Mkuu wa Huduma za Benki ya CRDB Serikalini, Benett Bankobeza (wa pili kushoto)