Friday, July 30, 2021
DKT.HOSEAH AMEWASILISHA MADA KUHUSU MAADILI YA UONGOZI KWA WAKURUGENZI NA WAKURUGENZI WASAIDIZI
Thursday, July 29, 2021
PICHA YA PAMOJA YA WASHIRIKI WA MAFUNZO NA MBUNGE WA BUTIAMA, MHE. JUMANNE SAGINI
MAFUNZO YA WAKURUGENZI NA WAKURUGENZI WASAIDIZI YANAENDELEA OFISI NDOGO YA BUNGE ZANZIBAR
Wednesday, July 28, 2021
MAFUNZO YA WAKURUGENZI NA WAKURUGENZI WASAIDIZI WA OFISI YA BUNGE YAMEFUNGULIWA
Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi, ndc akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Bunge yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi, Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar, kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Kadari Singo
Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Bunge wakifuatilia uwasilishwaji wa mada katika mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi, Mafunzo
hayo yanafanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar
Tuesday, July 27, 2021
MENEJIMENTI YA BUNGE YAKUTANA ZANZIBAR
KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA BUNGE CHAHITIMISHWA
KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI CHAENDELEA KATIKA OFISI NDOGO ZA BUNGE ZANZIBAR
Katibu wa Bunge, Bi Nenelwa Mwihambi ,ndc akiongoza
kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge kilichofanyika katika Ofisi
Ndogo za Bunge Zanzibar, kushoto ni Katibu wa Baraza Bi Felister Njovu
Mkurugenzi wa Idara ya Bajeti, Michael Kadebe akiwasilisha
Taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Bunge ya Mwaka 2021/2022 iliyopitishwa na Bunge
na Mpango Kazi wake katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika
katika Ofisi Ndogo za Bunge Zanzibar
mb
Monday, July 26, 2021
KIKAO CHA CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA OFISI YA BUNGE KIMEFANYIKA KATIKA OFISI NDOGO ZA BUNGE ZANZIBAR
Mkurugenzi wa Idara ya Bajeti katika Ofisi ya Bunge, Ndugu
Michael Kadebe akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Bunge kwa Mwaka
wa Fedha 2020/2021 katika kikao cha Baraza kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya
Bunge, Zanzibar
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge wakiwa
katika Kikao cha Baraza kinachofanyika kwa muda wa siku mbili katika Ofisi
Ndogo ya Bunge Zanzibar.
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge wakiwa
katika Kikao cha Baraza kinachofanyika kwa muda wa siku mbili katika Ofisi
Ndogo ya Bunge Zanzibar.