Thursday, August 26, 2021
Wednesday, August 25, 2021
Tuesday, August 24, 2021
KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAJADILI TAARIFA YA WIZARA YA UJENZI
Kamati ya Bunge ya Miundombinu yapokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhusu ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Dodoma pamoja na ujenzi wa kiwanja cha kimataifa cha Msalato tarehe 23 Agosti 2021
KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI YAKUTANA NA WIZARA YA MAJI
Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji yakutana na Wizara ya Maji na kupokea taarifa kuhusu Usimamizi wa Rasilimali za Maji nchini hususan shughuli zinazotekelezwa na mabonde ya maji tarehe 23 Agosti 2021
Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji yakutana na Wizara ya Maji na kupokea taarifa kuhusu Usimamizi wa Rasilimali za Maji nchini hususan shughuli zinazotekelezwa na mabonde ya maji tarehe 23 Agosti 2021
Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji yakutana na Wizara ya Maji na kupokea taarifa kuhusu Usimamizi wa Rasilimali za Maji nchini hususan shughuli zinazotekelezwa na mabonde ya maji tarehe 23 Agosti 2021
KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPOKEA TAARIFA
Saturday, August 21, 2021
Friday, August 20, 2021
KAMATI YA BAJETI YAPEWA NAFUNZO KUHUSU KUHUSU SERA NA SHERIA YA UBIA
Thursday, August 19, 2021
Tuesday, August 17, 2021
Monday, August 16, 2021
Saturday, August 14, 2021
Friday, August 13, 2021
KAMATI YA BUNGE YA SHERIA NDOGO YAPITIA NA KUCHAMBUA MAONI YA WADAU
|
Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria ndogo Mhe. Ndaisaba George Ruhoro akichangia jambo wakati wakipitia na kuchambua maoni ya wadau kuhusu:
|
KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAPOKEA MAONI KUTOKA KWA WADAU
CPA Godvictor Ibrahim Lyimo Rais wa Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) akitoa maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Usajili wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu wa mwaka 2021 katika viwanja vya Bunge tarehe 12 Agosti 2021 |
Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakipokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Usajili wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu wa mwaka 2021 katika viwanja vya Bunge tarehe 12 Agosti 2021 |
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (mwenye njano) na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Japheti Ngailonga Hasunga wakisikiliza kwa makini maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Usajili wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu wa mwaka 2021 katika viwanja vya Bunge tarehe 12 Agosti 2021 |
Thursday, August 12, 2021
MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AKIFAFANUA JAMBO KATIKA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI
Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa
Serikali Ndugu Gerson Msigwa akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya
Masuala ya Ukimwi kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI IKIENDELEA NA KIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Masula ya Ukimwi,
Mhe. Dkt. Alice Kaijage akizungumza katika kikao cha Kamati kilichofanyika
Bungeni Jijini Dodoma, Kamati hiyo ilijadili Taarifa ya Wizara ya Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu hali ya maambukizi ya VVU/UKIMWI , Kifua
Kikuu na magonjwa yasiyoambukiza, kulia ni Katibu wa Kamati Asia Msangi
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi wakiwa katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, Kamati hiyo ilijadili Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu hali ya maambukizi ya VVU/UKIMWI , Kifua Kikuu na magonjwa yasiyoambukiza, mafanikio na changamoto pamoja na mikakati ya kudhibiti maambukizi mapya katika tasnia hizo.
Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Masuala ya Ukimwi katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma,
Mhe. Bashungwa aliwasilisha Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo kuhusu hali ya maambukizi ya VVU/UKIMWI , Kifua Kikuu na magonjwa
yasiyoambukiza, mafanikio na changamoto pamoja na mikakati ya kudhibiti
maambukizi mapya katika tasnia hizo.
KAMATI YA BUNGE YA PIC IKIWA KATIKA KIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC),
wakiwa katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya Uwekezaji Ofisi ya Msajili wa Hazina,
Mohamed Nyasama akifafanua jambo katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Uwekezaji
wa Mitaji ya Umma (PIC) kilichofanyika
Bungeni Jjijini Dodoma