Friday, March 23, 2018
Thursday, March 22, 2018
WAJUMBE WA KAMATI YA LAAC NA PAC WAENDELEA NA MAFUNZO MKOANI SINGIDA
NAIBU SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MAKAMU WA RAIS WA BUNGE LA VIETNAM PAMOJA NA UJUMBE WAKE JIJINI DAR ES SALAAM.
Naibu Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akizungumza na Ujumbe wa Wabunge
toka Bunge la Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam ukiogozwa na Makamu wa Rais wa
Bunge hilo Mhe. Phung Ouoc Hien. Mazungumzo hayo yamefanyika mapema leo Ofisi
Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam wakati Wabunge hao walipofanya ziara ya
Kibunge yenye lengo lakukuza uhusiano baina ya pande zote mbili.
Naibu Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson wa (kwanza kushoto)
akizungumza na Ujumbe wa Wabunge toka Bunge la Jamhuri ya Kisoshalisti ya
Vietnam ukiogozwa na Makamu wa Rais wa Bunge hilo Mhe. Phung Ouoc Hien (wa nne
toka kulia).
Naibu Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson akipokea zawadi toka kwa
Makamu wa Rais wa Bunge la Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam Mhe. Phung Ouoc
Hien mara baada ya mazungumzo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam
Naibu Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Tulia Ackson (wa sita toka kulia) katika
picha ya pamoja na Ujumbe wa Wabunge toka Bunge la Jamhuri ya Kisoshalisti ya
Vietnam ukiogozwa na Makamu wa Rais wa Bunge hilo Mhe. Phung Ouoc Hien (wa kwanza kulia kwa Naibu Spika) mara baada
ya mazungumzo Ofisi Ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam.
Wednesday, March 21, 2018
WAJUMBE WA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA LAAC NA PAC WAENDELEA NA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO KATIKA OFISI YA TAIFA YA UKAGUZI MKOANI SINGIDA
Tuesday, March 20, 2018
KAMATI ZA KUDUMU ZA BUNGE ZA LAAC NA PAC ZAPATIWA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO
Monday, March 19, 2018
KAMATI YA LAAC NA PAC ZAANZA ZIARA MKOA WA SINGIDA
Thursday, March 8, 2018
Subscribe to:
Posts (Atom)


