Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen
Kagaigai akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja
wa Mataifa (UNDP), Bi Verity Nyagah alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma.
|
Tuesday, May 28, 2019
KATIBU WA BUNGE ATEMBELEWA NA MKURUGENZI UNDP
Friday, May 24, 2019
NAIBU SPIKA AFUNGUA MAFUNZO KWA WABUNGE WANAWAKE
|
| Mtaalamu wa Masuala ya Jinsia, Ndugu Fortunata Temu akitoa mada kuhusiana uelewa wa sera na sheria zinazohusu masuala ya kijinsia katika mafunzo kwa wajumbe wa Chama cha Wanawake Wabunge (TWPG) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma |
Thursday, May 23, 2019
KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPATIWA MAFUNZO KUHUSU UTEKELEZAJI WA LENGO NAMBA 4 LA MAENDELEO ENDELEVU
| Katibu wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Agness Nkwera akitoa mada kuhusu Utekelezaji wa Lengo Namba 4 la Maendeleo Endelevu katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. |
|
|
|
KAMATI YA PAC IKIWA KATIKA KIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA
| Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka na Makamu Mwenyekiti, Mhe. Aeshi Hilal wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma |
| Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka na Makamu Mwenyekiti, Mhe. Aeshi Hilal wakiwa kaitika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma |
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angella Mabula akiwa katika kikao cha Kamati
ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC)kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma
BALOZI WA USWISI NCHINI AFIKA OFISINI KWA MHE. SPIKA KUMUAGA
Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli (aliyesimama)
akitambulishwa Bungeni na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (hayupo pichani). Balozi huyo alifika Ofisini kwa Mhe. Spika kumuaga baada ya
kumaliza muda wake.
Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai
akisalimiana na Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli aliyefika
Ofisini kwa Mhe. Spika kumuaga baada ya kumaliza muda wake.
MREMBO WA DUNIA WA UANDISHI WA HABARI ATEMBELEA BUNGE
Wednesday, May 22, 2019
Subscribe to:
Posts (Atom)
