WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, May 28, 2019

KATIBU WA BUNGE ATEMBELEWA NA MKURUGENZI UNDP

Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bi Verity Nyagah alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Mkurugenzi huyo aliambatana na viongozi mbalimbali wanaosimamia Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP)

Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bi Verity Nyagah alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma. Mkurugenzi huyo aliambatana na viongozi mbalimbali wanaosimamia Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP)

Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Bi Verity Nyagah alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Friday, May 24, 2019

NAIBU SPIKA AFUNGUA MAFUNZO KWA WABUNGE WANAWAKE


Naibu Spika wa Bunge, Mhe.Dkt. Tulia Ackson akifungua mafunzo kwa wajumbe wa Chama Cha Wabunge Wanawake (TWPG) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Kushoto ni Mwenyekiti wa TWPG, Mhe. Magreth Sitta na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa TWPG, Mhe. Susan Lyimo.

Naibu Spika wa Bunge, Mhe.Dkt. Tulia Ackson akifungua mafunzo kwa wajumbe wa Chama Cha Wabunge Wanawake (TWPG) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. 

Mwenyekiti wa Chama Cha Wanawake Wabunge (TWPG) akimkaribisha Naibu Spika wa Bunge, Mhe.Dkt. Tulia Ackson kufungua mafunzo kwa wajumbe wa Chama Cha Wabunge Wanawake (TWPG) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.
 
Mtaalamu wa Masuala ya Jinsia, Ndugu Fortunata Temu akitoa mada kuhusiana uelewa wa sera na sheria zinazohusu masuala ya kijinsia katika mafunzo kwa wajumbe wa Chama cha Wanawake Wabunge (TWPG) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma

Thursday, May 23, 2019

KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPATIWA MAFUNZO KUHUSU UTEKELEZAJI WA LENGO NAMBA 4 LA MAENDELEO ENDELEVU

Katibu wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Agness Nkwera akitoa mada kuhusu Utekelezaji wa Lengo Namba 4 la Maendeleo Endelevu katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Mjumbe wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Susan Lyimo akichangia mada kuhusu kuhusu Utekelezaji wa Lengo Namba 4 la Maendeleo Endelevu katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, wakiwa katika kikao cha Kamamti hiyo.kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.



Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. John Kadutu akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.


KAMATI YA PAC IKIWA KATIKA KIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA


Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka na Makamu Mwenyekiti, Mhe. Aeshi Hilal wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma

Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka na Makamu Mwenyekiti, Mhe. Aeshi Hilal wakiwa kaitika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angella Mabula akiwa katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC)kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma

BALOZI WA USWISI NCHINI AFIKA OFISINI KWA MHE. SPIKA KUMUAGA

 Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli (aliyesimama) akitambulishwa Bungeni na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (hayupo pichani).  Balozi huyo alifika  Ofisini kwa Mhe. Spika kumuaga baada ya kumaliza muda wake.
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akufurahi jambo wakati akizungumza na Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli aliyefika Ofisini kwake kumuaga baada ya kumaliza muda wake .

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akimueleza jambo Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli aliyefika Ofisini kwake kumuaga baada ya kumaliza muda wake .

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli aliyefika Ofisini kwake kumuaga baada ya kumaliza muda wake. 

Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai akisalimiana na Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli aliyefika Ofisini kwa Mhe. Spika kumuaga baada ya kumaliza muda wake.

MREMBO WA DUNIA WA UANDISHI WA HABARI ATEMBELEA BUNGE

Mrembo wa Dunia wa Uandishi wa Habari (Miss World Journalism 2018) Nina Yevtushenko kutoka Nchini Ukraine atembelea Bunge na kujionea namna Vikao vinavyoendeshwa hii leo Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)