Friday, October 18, 2019
Wednesday, October 16, 2019
Sunday, October 6, 2019
NAIBU SPIKA AFUNGUA MKUTANO MKUU WA TAIFA WA SHIRIKA LA MSALABA MWEKUNDU TANZANIA
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akifungua Mkutano
Mkuu wa Taifa wa Shirika la Msalaba Mwekundu (TRCS) uliofanyika katika Ukumbi
wa African Dream wa Jijini Dodoma.
|
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akifungua Mkutano
Mkuu wa Taifa wa Shirika la Msalaba Mwekundu (TRCS) uliofanyika katika Ukumbi
wa African Dream wa Jijini Dodoma.
|
Tuesday, September 3, 2019
MAKATIBU MEZANI CPA WAFANYA MKUTANO MKUU WA MWAKA
Wajumbe
wa Chama cha Makatibu Mezani cha Mabunge
ya Nchi za Jumuiya ya Madola (SoCATT), wakiwa katika Mkutano wa Mwaka wa chama hicho
uliofanyika katika Hoteli ya Madinat Al Bahr Visiwani Zanzibar.
|
| wajumbe wa SoCATT wakiwa katika mkutano |
Sunday, September 1, 2019
KAMATI YA UTENDAJI YA CPA - KANDA YA AFRIKA YAKUTANA ZANZIBAR
Saturday, August 31, 2019
SPIKA AONGOZA KIKAO CHA BODI YA UWEKEZAJI YA CPA KANDA YA AFRIKA
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa kwanza kushoto) akiongoza kikao cha Bodi ya
Uwekezaji ya Chama cha Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya
Afrika kilichofanyika katika Hotel ya Manidat AL Bahr Business and Spa Hotel. Katikati ni Katibu wa CPA Kanda ya Afrika,
Ndugu Stephen Kagaigai na Ndugu Said Yakubu Katibu Msaidizi wa CPA Afrika
NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA NAIBU SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA AFRIKA YA KUSINI
Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiwa pamoja na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Lechesa Tsenoli wakifurahia dafu wakati walipotembelea shamba la viungo (Spice farm) visiwani Zanzibar. Viongozi hao wapo visiwani humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Madola (CPA), Kanda ya Afrika.
|
Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akipewa zawadi ya bangili wakati
yeye na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Afrika ya Kusini, Mhe. Lechesa
Tsenoli walipotembelea shamba la viungo (Spice farm) visiwani Zanzibar. Viongozi hao wapo visiwani
humo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 50 wa Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya
Madola (CPA), Kanda ya Afrika.
Subscribe to:
Posts (Atom)



