Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Viwanda, Biashara na Mazingira wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Sadiq Murad
wakiwa katika kikao katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo walikutana
na watendaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).
|
Mwenyekiti wa Kamati ya Viwanda,
Biashara na Mazingira Mhe. Sadiq Murad akiongoza
kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo walikutana na watendaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), pembeni ni
Katibu wa Kamati, Zainabu Mkamba.
|
|
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Viwanda, Biashara na Mazingira wakiongozwa na Mwenyekiti Mhe. Sadiq Murad
wakiwa katika kikao katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo leo walikutana
na watendaji wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), pichani ni mjumbe wa Kamati
hiyo, Mhe. Godbles Lema akichangia jambo katika kikao hicho.
|
|
Naibu Waziri wa Viwanda na
Biashara, Mhe. Stella Manyanya akichangia jambo katika kikao cha Kamati ya
Viwanda, Biashara na Mazingira kilichokutana leo katika Ofisi za Bunge Jijini
Dodoma
|