ReplyForward |
Wednesday, March 23, 2022
KAMATI YA LAAC YA KAGUA MRADI WA STENDI HALMASHAURI YA ILEMELA
KAMATI YA PAC IMETEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA UJENZI WA MAHAKAMA JUMUISHI YA TEMEKE NA KINONDONI




Mtendaji Mkuu wa Mahakama Kuu, Leonard Magacha akiwaonyesha wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), maeneo mbalimbali katika Mahakama Jumuishi ya Temeke wakati kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa ujenzi wa Mahakama hiyo
SPIKA DKT. TULIA AMEKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU) BALI NCHINI INDONESIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson (Mb), akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani
(IPU), Ndg. Martin Chungong katika ofisi za Katibu Mkuu huyo zilizopo katika
Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144
wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea leo Machi 23, 2022
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani
(IPU), Ndg. Martin Chungong katika ofisi za Katibu Mkuu huyo zilizopo katika
Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144
wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea leo Machi 23, 2022
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.
Tulia Ackson (Mb), akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani
(IPU), Ndg. Martin Chungong katika ofisi za Katibu Mkuu huyo zilizopo katika
Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144
wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea leo Machi 23, 2022,
Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Ramadhani Dau
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg. Martin Chungong katika ofisi za Katibu Mkuu huyo zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea leo Machi 23, 2022
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akifurahi jambo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Ndg. Martin Chungong (kushoto) katika ofisi za Katibu Mkuu huyo zilizopo katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia wakati wa Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) unaoendelea leo Machi 23, 2022, Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Ramadhani Dau
Tuesday, March 22, 2022
KAMATI YA LAAC YAKAGUA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA LA HALMASHAURI WILAYA YA MAGU
SPIKA DKT. TULIA ALIHUTUBIA BUNGE LA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU) BALI NCHINI INDONESIA
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (Mb), akilihutubia Bunge la Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) katika Mkutano wa 144 wa Umoja huo unaoendelea leo Machi 22, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia.
Wajumbe wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakiwa katika Mkutano wa 144 wa Umoja huo wakisikiliza hotuba mbalimbali za Maspika zikiwasilishwa leo Machi 22, 2022 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia.
Sunday, March 20, 2022
KAMATI YA BUNGE YA PAC IMETEMBELEA NA KUKAGUA MRADI WA MABORESHO YA BANDARI YA TANGA
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akizungumza na watendaji wa Mamlaka ya Bandari wakati Kamati hiyo ilipotembelea na kukagua mradi wa maboresho ya Bandari ya Tanga
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakikagua mradi wa maboresho ya Bandari ya Tanga
WABUNGE WANAWAKE WA BUNGE LA TANZANIA AMBAO PIA NI WAJUMBE WA UMOJA WA MABUNGE DUNIANI (IPU) WASHIRIKI KIKAO CHA 33 CHA JUKWAA LA UMOJA WA WABUNGE WANAWAKE DUNIANI
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Duarte Pacheco akifungua Kikao cha 33 cha Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022
Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani (IPU), Mhe. Roba Putri akiongoza kikao cha 33 cha Jukwaa hilo katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022
Wajumbe Wanawake wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wakishiriki Kikao cha 33 cha Jukwaa la Umoja wa Wabunge Wanawake Duniani katika Mkutano wa 144 wa IPU unaoendelea leo katika kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali, Indonesia, Machi 20, 2022
