Friday, May 31, 2019
Thursday, May 30, 2019
Wednesday, May 29, 2019
KAMATI YA MIUNDOMBINU YAFANYA TATHIMINI YA MIRADI WALIYOIKAGUA
Wajumbe wa Kamati ya Miundombinu wakiendelea na katika kikao |
Tuesday, May 28, 2019
WAJUMBE WA BODI YA LSP WAKUTANA
NAIBU SPIKA AFANYA MAZUNGUMZO NA KAIMU MKURUGENZI MKAZI WA UNDP
KATIBU WA BUNGE ATEMBELEWA NA MKURUGENZI UNDP
Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen
Kagaigai akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja
wa Mataifa (UNDP), Bi Verity Nyagah alipomtembelea ofisini kwake Bungeni Jijini
Dodoma.
|
Friday, May 24, 2019
NAIBU SPIKA AFUNGUA MAFUNZO KWA WABUNGE WANAWAKE
|
Mtaalamu wa Masuala ya Jinsia, Ndugu Fortunata Temu akitoa mada kuhusiana uelewa wa sera na sheria zinazohusu masuala ya kijinsia katika mafunzo kwa wajumbe wa Chama cha Wanawake Wabunge (TWPG) yaliyofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma |
Thursday, May 23, 2019
KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPATIWA MAFUNZO KUHUSU UTEKELEZAJI WA LENGO NAMBA 4 LA MAENDELEO ENDELEVU
Katibu wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Agness Nkwera akitoa mada kuhusu Utekelezaji wa Lengo Namba 4 la Maendeleo Endelevu katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. |
|
|
|
KAMATI YA PAC IKIWA KATIKA KIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka na Makamu Mwenyekiti, Mhe. Aeshi Hilal wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma |
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka na Makamu Mwenyekiti, Mhe. Aeshi Hilal wakiwa kaitika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma |
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angella Mabula akiwa katika kikao cha Kamati
ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC)kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma
BALOZI WA USWISI NCHINI AFIKA OFISINI KWA MHE. SPIKA KUMUAGA
Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli (aliyesimama)
akitambulishwa Bungeni na Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (hayupo pichani). Balozi huyo alifika Ofisini kwa Mhe. Spika kumuaga baada ya
kumaliza muda wake.
Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai
akisalimiana na Balozi wa Uswisi nchini Bi. Florence Tinguely Mattli aliyefika
Ofisini kwa Mhe. Spika kumuaga baada ya kumaliza muda wake.
MREMBO WA DUNIA WA UANDISHI WA HABARI ATEMBELEA BUNGE
Wednesday, May 22, 2019
Tuesday, May 21, 2019
WAGENI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BUNGE
Saturday, May 18, 2019
WABUNGE WAPEWA SEMINA YA MASUALA YA JINSIA NA JINSI
Mheshimiwa Andrew Chenge akichangia jambo katika Semina ya Kupitia
Mfumo wa Kisheria na Kisera kuhusu masuala ya Kijinsia na Jinsi katika
shughuli za Kibunge iliyofanyika kwenye Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii
leo. Semina hiyo imehudhuriwa na Wajumbe
wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii,
Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama,
Kamati ya Viwanda, Biashara na
Mazingira, Kamati ya Miundombinu, Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji na Kamati ya
Sheria ndogo.
|
Waheshimiwa
Wabunge wakifuatilia jambo katika Semina ya Kupitia
Mfumo wa Kisheria na Kisera kuhusu masuala ya Kijinsia na Jinsi katika
shughuli za Kibunge iliyofanyika kwenye Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii
leo. Semina hiyo imehudhuriwa na Wajumbe
wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii,
Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama,
Kamati ya Viwanda, Biashara na
Mazingira, Kamati ya Miundombinu, Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji na Kamati ya
Sheria ndogo.
|
Mheshimiwa Julius Kalanga akichangia jambo katika Semina ya Kupitia
Mfumo wa Kisheria na Kisera kuhusu masuala ya Kijinsia na Jinsi katika
shughuli za Kibunge iliyofanyika kwenye Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii
leo. Semina hiyo imehudhuriwa na Wajumbe
wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii,
Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama,
Kamati ya Viwanda, Biashara na
Mazingira, Kamati ya Miundombinu, Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji na Kamati ya
Sheria ndogo.
|
Thursday, May 9, 2019
Tuesday, May 7, 2019
Monday, May 6, 2019
SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MUWAKILISHI UNDP
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Kaimu Muwakilishi Mkazi wa
Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie Bovely
alipomtembelea nyumbani kwake Jijini
Dodoma. Mgeni huyo aliambatana na Mshauri Mkuu wa Mradi wa Kulijengea Bunge
Uwezo (LSP II), Ndugu Takawira Musavengana
na Mratibu wa mradi huo Ndugu Mary Lasway.
|
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akizungumza na Kaimu
Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu
Natalie Bovely alipomtembelea nyumbani kwake Jijini Dodoma.
|
Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akipokea zawadi kutoka
kwa Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP),
Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea nyumbani kwake kwake Jijini Dodoma.

KATIBU WA BUNGE ATEMBELEWA NA MWAKILISHI KUTOKA UNDP
Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akimsikiliza Kaimu
Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie
Bovely alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma.
|
Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akimsikiliza Kaimu
Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), Ndugu Natalie
Bovely alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma. Mgeni huyo aliambatana na
Mshauri Mkuu wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo (LSP), Ndugu Takawira
Musavengana na Mratibu wa mradi huo Ndugu
Mary Lasway.
|
Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai akipokea zawadi
kutoka kwa Kaimu Muwakilishi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa
(UNDP), Ndugu Natalie Bovely alipomtembelea ofisini kwake Jijini Dodoma.
|
Subscribe to:
Posts (Atom)