Wajumbe
wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya katiba na Sheria wakiwa katika kikao cha
kupokea na kujadili Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Katiba na
Sheria kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 leo Machi 31, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa
Bungeni Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa
kamati ya kudumu ya Bunge ya katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Joseph Mhagama
akiongoza kikao cha kupokea na kujadili Makadirio ya Mapato na Matumizi ya
Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 leo Machi 31, 2022
katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. George Simbachawene akijibu hoja Mbalimbali za Wajumbe wa kamati ya katiba na Sheria wakati wa kupokea na kujadili Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 leo Machi 31, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Jaji. Dkt. Eliezer Feleshi akijibu hoja Mbalimbali za Wajumbe wa kamati ya katiba na Sheria wakati wa kupokea na kujadili Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Katiba na Sheria kwa Mwaka wa Fedha 2022/2023 leo Machi 31, 2022 katika Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto kwake ni Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. George Simbachawene, Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria, Ndg. Mary Makondo na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Geoffrey Pinda